Diamond
Kwa hali isiyotarajiwa Diamond alikuwa katika
hali mbaya sana, alikuwa amezidiwa na homa kali ya ghafla
iliyosababishwa na kifua kilichomsumbua kwa takribani wiki mbili
mfululizo hali iliyopelekea kupelekwa Heameda Medical Clinic kwa Doctor Hery M. Mwandolela, ambaye ni Specialist wa Heart and Cough
kwa uchunguzi na vipimo vikubwa kutokana na hali kuwa mbaya.
Baada ya vipimo vyote iligundulika
kuwa ni kifua cha kawaida kilisababishwa na tour na ziara nyingi alizozifanya ndani ya mikoa ya Tanzania na nchi mbalimbali kwa mfululizo bila mapumziko.
kwa sasa hali
ya Diamond si mbaya sana na anawashukuru fans wake wote waliokuwa wakimuombea kupitia
Blogs mbalimbali, Twitter, Bbm, Facebook na zinginezo, na Media zote kwa ujumla aweze kupona na kuendelea na shughuli zake za ujenzi wa taifa kama kawaida.
No comments:
Post a Comment