Amri Kiemba.
Na Khatimu Naheka
HATIMAYE aliyekuwa kiungo wa Simba, Amri
Kiemba, amekubali rasmi kuachana na klabu
hiyo na sasa atakuwa mchezaji wa Yanga msimu
ujao.
Awali, Kiemba ambaye anatarajiwa kutua leo
akitokea nchini Morocco alipokuwa na kikosi
cha Taifa Stars, alikuwa na kigugumizi kizito
juu ya kusaini mkataba mpya na Simba,
kutokana na Wekundu hao kushindwa kukubali
dau alilotaka la Sh milioni 30 na mshahara wa
dola 1,500 (sawa na Sh milioni 2.4). endelea HAPA
Tuesday, June 11, 2013
AMRI KIEMBA ADONDOKA YANGA
Labels:
Amri Kiemba.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment