Tuesday, June 11, 2013

CIARA ASHTAKIWA NA BAR YA WATU WENYE KUSHIRIKI MAPENZI YA JINSIA MOJA

Mwanamziki Ciara ameshtakiwa na bar
inayohudhuriwa na watu wanyekushiriki
mapenzi ya jinsia moja (gay), iliyoko West
Hollywood, ambao wanadai kuwa mwanamziki
huyo aliwaacha kwenye mataa pale alipojitoa
katika moja ya tamasha lao walilotarajia
kulifanya leo usiku (7th)
Club hiyo ya usiku inayoitwa "The Factory"
inasemekana kuwa inajaza sana wateja wake
hao ambao wanajua ku-party
kutokana na mshtaka hayo, Ciara ali-sign dili la
dola za kimarekani...endelea HAPA

No comments:

Post a Comment