Mwanzoni mwa mwezi may OGG MAJINGX aliachia ngoma yake mpya aliomshirikisha Mirror na baadhi ya vituo vya radio walianza kuucheza.
Siku chache baada ya wimbo huo kutambulishwa OGG aligundua kuwa wimbo huo haupo sahihi kwa kuwa halikuwa kusudio lake kuachia wimbo huo na ndipo alipoamua kuomba radhi kwa watangazaji na fans wake wote.
Ujumbe alioutuma kupitia email ya zee town ni huu.
"HALLOW WADAU ! OGG MAJINGX ANAOMBA RADHI KWA WIMBO WAKE HUU AMBAO ALIUTOA MWANZONI ULIKUWA NA MATATIZO HAUKUWA COMPLETE. SO NOW WIMBO UPO KAMILI NA UNAWEZA KUCHEZWA SASA"
Ni bonge la ngoma limekaa vema offcoz sapoti yako kwa mchizi ndio kitu muhimu. MR. T. TOUCH ndio producer
No comments:
Post a Comment