Forward wa Oklahoma City Thunder atafata
nyayo za Genoo Smith wa New York Jets na
Robinson cano wa New York Yankees kwa kutia
wino kwenye mkataba wa kusimamiwa kwenye
kazi zake na kampuni ya Kusimamia
Wanamichezo Ya Roc Nation.
Kwa mujibu wa ESPN Jay-Z's Roc Nation Sports
agency itafanya kazi na Kevin Durant wa
Oklahoma City Thunder Baada ya Kevin
kusitisha mkataba wake na mwakilishi wake wa
sasa. Durant amewaambia watu wa karibu yake
kuwa anataka kujenda jina lake liwa kibiashara
zaidi na aweze kutengeneza pesa kwa kasi zaidi
ndio maana anahamia kwenye usimamizi wa
kampuni ya Jay Z...endelea HAPA
Tuesday, June 11, 2013
Mwanamichezo Mwingine Atakaye Simamiwa Na Kampuni Ya Jay Z.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment