Monday, June 3, 2013

MAKAMU WA RAISI DKT. BILAL AZINDUA RASIMU YA KATIBA MPYA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, KARIMJEE DAR LEO.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiinua juu na kunyesha Kitabu cha
Rasimu ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa rasimu hiyo
uliofanyika leo Juni 03, 2013 katika Viwanja vya Karimjee jijini
Dar es Salaam. Kulia ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda,
(kushoto) ni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya
Katiba Mpya, Joseph Sinde Warioba. Endelea hapa michuzi blog

No comments:

Post a Comment